OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa,
Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la magoli, na anamulikwa sana na camera za azam, ana kitambulisho maalumu, anapewa mpaka access ya kupiga picha na kombe la muungano, wachezaji mbali mbali wa simba ili apost mtandaoni aaminike na watu kisha aanze kueneza uzushi.
Yupo huko Facebook na nadhani kuna wengine wengi, hawa vijana wamepewa kazi maalum ya kumtetea Mo kila inapokuja mijadala ya kumkosoa.
Kama timu inawatu wa propaganda msitegemee mambo mazuri