OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Ku set mikoNa Yule Dorothea pale Nyuma mwiko kazi yake huwa ni nini?
Chawa ni nini ?Logikos
Jamaa ni daktari wa binadamu ila kaamua kuwa chawa na hiyo ndio kazi yake ana mpaka badge maalumu ya kumpa access kuonana na wachezaji kupiga picha n.k kusafirishwa bure bando n.k na huwa anakaa upande wa mashabiki yupo kila mechi haijalishi iyacjezwa wapi yeye lazima umuone na hiyo ndio kazi yake hapo simba kusafiri kusifia na kupost uzushi na propaganda
Pasi milioni!!Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa,
Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la magoli, na anamulikwa sana na camera za azam, ana kitambulisho maalumu, anapewa mpaka access ya kupiga picha na kombe la muungano, wachezaji mbali mbali wa simba ili apost mtandaoni aaminike na watu kisha aanze kueneza uzushi.
Yupo huko Facebook na nadhani kuna wengine wengi, hawa vijana wamepewa kazi maalum ya kumtetea Mo kila inapokuja mijadala ya kumkosoa.
Kama timu inawatu wa propaganda msitegemee mambo mazuri
HahahahahaNa Yule Dorothea pale Nyuma mwiko kazi yake huwa ni nini?
KiburudishoNa Yule Dorothea pale Nyuma mwiko kazi yake huwa ni nini?
Huwa iko hivoooooo!