Simba kuna nini kinaendelea huko ndani?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kuna nini huko?

Nyota wa Klabu ya Simba SC, Clatous Chama [emoji1268] kupitia Instastory yake ame-repost tweet ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez akionesha kukubaliana na mawazo yake kwa asilimia 100%.

Barbara aliandika "Usilipize ubaya kwa ubaya lakini usiwe mnyonge kudai haki yako"

Tuambie, unayatafsiri vipi maneno haya?

Source: Futball Planet.

 
Kumbe unamfuatilia sana Chama

Ungemuuliza hapo hapo si kuna comment box kwa chini au alikupuuza kama ambavyo hapa tunafanya?
Nimeona Nije kwenu wanachama
 
Chama atatuambia mwenye huna haja ya kutuhadithia wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ