Simba kuna nini kinaendelea huko ndani?

Simba kuna nini kinaendelea huko ndani?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kuna nini huko?

Nyota wa Klabu ya Simba SC, Clatous Chama [emoji1268] kupitia Instastory yake ame-repost tweet ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez akionesha kukubaliana na mawazo yake kwa asilimia 100%.

Barbara aliandika "Usilipize ubaya kwa ubaya lakini usiwe mnyonge kudai haki yako"

Tuambie, unayatafsiri vipi maneno haya?

Source: Futball Planet.

1689252239309.jpg
 
Kumbe unamfuatilia sana Chama

Ungemuuliza hapo hapo si kuna comment box kwa chini au alikupuuza kama ambavyo hapa tunafanya?
Nimeona Nije kwenu wanachama
 
𝙆𝙪𝙣𝙖 𝙣𝙞𝙣𝙞 𝙝𝙪𝙠𝙤? [emoji848]

Nyota wa Klabu ya Simba SC,Clatous Chama [emoji1268] kupitia Instastory yake ame-repost Tweet ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba,Barbara Gonzalez akionesha kukubaliana na mawazo yake kwa asilimia 100%

Barbara aliandika "Usilipize ubaya kwa ubaya lakini usiwe mnyonge kudai haki yako"

𝐓𝐮𝐚𝐦𝐛𝐢𝐞 𝙐𝙣𝙖𝙮𝙖𝙩𝙖𝙛𝙨𝙞𝙧𝙞𝙟𝙚 𝙢𝙖𝙣𝙚𝙣𝙤 𝙝𝙖𝙮𝙖?[emoji848][emoji1541][emoji1541]

Source: futball planet
View attachment 2686727
Chama atatuambia mwenye huna haja ya kutuhadithia wewe.
 
Back
Top Bottom