Simba kuna nini kinaendelea huko ndani?

Simba kuna nini kinaendelea huko ndani?

Si mlisema ana ujauzito wake? 🤣🤣🤣🤣🤣

Makolo bwana! Ndio maana Mudi kashachoka.
 
Ni hasara sana mwanaume kuwa limbukeni wa ujinga ujinga kama huu.

Mtu kaandika tu unaanza kuhangaika kutafuta maana unayoihitaji wewe ili ufurahishe fikra zako potofu. Stupid!
Kuna shida gan pale ukoloni mkuu
 
Kuna nini huko?

Nyota wa Klabu ya Simba SC, Clatous Chama [emoji1268] kupitia Instastory yake ame-repost tweet ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez akionesha kukubaliana na mawazo yake kwa asilimia 100%.

Barbara aliandika "Usilipize ubaya kwa ubaya lakini usiwe mnyonge kudai haki yako"

Tuambie, unayatafsiri vipi maneno haya?

Source: Futball Planet.

Barbara si yupo? Kamuulize! Acheni kutuchosha!
 
Back
Top Bottom