Simba kuna tatizo kubwa, Viongozi wanafeli kote

Simba kuna tatizo kubwa, Viongozi wanafeli kote

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
1,181
Reaction score
1,579
Walitaka kumsajiri Adebayo, haikuwezelana.

Azizi K, wakasingizia hawakumtaka.

Mazonki, sijui mpaka anyakuliwe na wengine.

Hata ukiangalia hawa makocha wanaopishana hapo klabuni kama mbayuwai angani ni wakuokoteza.

Kiufupi mtoto wa bahiri hapendezi.

Mo, jitafakari, chukua hatua.
 
Ile mechi imechezwa nje ya uwanja viongozi kutoa ela na sie tuicheze nje ya uwanja hawataki......ceo haamini gizani
 
Walitaka kumsajiri Adebayo, haikuwezelana.
Azizi K, wakasingizia hawakumtaka.
Mazonki, sijui mpaka anyakuliwe na wengine.
Hata ukiangalia hawa makocha wanaopishana hapo klabuni kama mbayuwai angani ni wakuokoteza. Kiufupi mtoto wa 'bahiri hapendezi'.
Mo, jitafakari, chukua hatua.
Noted..
 
Walitaka kumsajiri Adebayo, haikuwezelana.
Azizi K, wakasingizia hawakumtaka.
Mazonki, sijui mpaka anyakuliwe na wengine.
Hata ukiangalia hawa makocha wanaopishana hapo klabuni kama mbayuwai angani ni wakuokoteza. Kiufupi mtoto wa bahiri hapendezi.
Mo, jitafakari, chukua hatua.
Achen ujinga wenu
Kaeni kwa kutulia mlitaka nan afungwe???
Juzi mlifunga wa Ethiopia leo ni nyie
Kaa kwa kutulia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yule mzungu hata mfanyeje hana jipya. Huyu kocha kwa kumpanga huyo sina imani naye tena! unamwachaje Moses Phiri nje ukampanga Boko ama Kiyombo!
Ile mechi imechezwa nje ya uwanja viongozi kutoa ela na sie tuicheze nje ya uwanja hawataki......ceo haamini gizani
 
Tulieni mambo mazuri yanakuja.
Punguzeni presha.ni mapema Sana kutoa lawama.
Kufungwa kupo.
 
Back
Top Bottom