Mchokoo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,181
- 1,579
Walitaka kumsajiri Adebayo, haikuwezelana.
Azizi K, wakasingizia hawakumtaka.
Mazonki, sijui mpaka anyakuliwe na wengine.
Hata ukiangalia hawa makocha wanaopishana hapo klabuni kama mbayuwai angani ni wakuokoteza.
Kiufupi mtoto wa bahiri hapendezi.
Mo, jitafakari, chukua hatua.