Noted..Walitaka kumsajiri Adebayo, haikuwezelana.
Azizi K, wakasingizia hawakumtaka.
Mazonki, sijui mpaka anyakuliwe na wengine.
Hata ukiangalia hawa makocha wanaopishana hapo klabuni kama mbayuwai angani ni wakuokoteza. Kiufupi mtoto wa 'bahiri hapendezi'.
Mo, jitafakari, chukua hatua.
Njoo nikupakate roho ishuke.Huyo mayele wamemzindika nasikia usiku wa jana
Achen ujinga wenuWalitaka kumsajiri Adebayo, haikuwezelana.
Azizi K, wakasingizia hawakumtaka.
Mazonki, sijui mpaka anyakuliwe na wengine.
Hata ukiangalia hawa makocha wanaopishana hapo klabuni kama mbayuwai angani ni wakuokoteza. Kiufupi mtoto wa bahiri hapendezi.
Mo, jitafakari, chukua hatua.
Pakata hata pumbu zakoNjoo nikupakate roho ishuke.
Usiseme hivyoooo. Don't say that.Njoo nikupakate roho ishuke.
Ile mechi imechezwa nje ya uwanja viongozi kutoa ela na sie tuicheze nje ya uwanja hawataki......ceo haamini gizani
Usiseme hivyoooo.Pakata hata pumbu zako
Kaa kwa kutulia mlitaka nan afungwe??Pakata hata pumbu zako
Achen ujinga wenu
Kaeni kwa kutulia mlitaka nan afungwe???
Juzi mlifunga wa Ethiopia leo ni nyie
Kaa kwa kutulia
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yule jamaa lilikuwa jembe pale mrithi wake labda kaburu Hawa wengine wanabebwa na pesa iliyopoHapa tutamkumbuka Hans Pope