Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Tunawaombea ushindiKikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco [emoji1173] tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.View attachment 2568636
Kwani kapombe na Tshabalala wako wapi?Mzamiru na manula vp wanaachwa? Mana wapo kwenye kikosi cha stars na wanakipiga usiku wa leo
Wanaondoka mafungu,walioitwa Timu za taifa wataungana na wenzao huko huko MoroccoMzamiru na manula vp wanaachwa? Mana wapo kwenye kikosi cha stars na wanakipiga usiku wa leo
uwajui waarabu mashabiki wao wakisikia Lile Goma kubwa na mhamasishaji aki hanikiza uwanjani.Mechi haina hata pressure kwa kuwa timu zote zimeshafuzu
.....na siyo kuwaombea wakafungwe walau magoli machache!Tunawaombea ushindi
Daaah JF hii [emoji1][emoji1732][emoji16]uwajui waarabu mashabiki wao wakisikia Lile Goma kubwa na mhamasishaji aki hanikiza uwanjani.
Wakati uo wachezaji wa Raja wameshakula tende tunda 10 na glasi Moja ya maziwa ya mbuzi.
Simba yenyewe sasa[emoji1][emoji1]View attachment 2568674
Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Mikia/Manyaunyau/Madunduka/Mipang'ang'a/Ngada/Zuwena/Kolowizards/Kinyume nyume FCAll the best makolo
We waarabu kina monastr si ulishinda kwaoMakolo aya jiamini apo juu yameanza kutetemeka ata mcheze wote na kanjibai ndani mkipigwa chini ya 3 mniite mbwa
AaahaaaahMakolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Mikia/Manyaunyau/Madunduka/Mipang'ang'a/Ngada/Zuwena/Kolowizards/Kinyume nyume FC
Timu ina majina ya ajabu ajabu hadi shetwani anashangaa [emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Utopolo, machoko kabwili, gongowazi, chura, hawana hata kiwanja cha mazoezi utopoloMakolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Mikia/Manyaunyau/Madunduka/Mipang'ang'a/Ngada/Zuwena/Kolowizards/Kinyume nyume FC
Timu ina majina ya ajabu ajabu hadi shetwani anashangaa [emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
AaaaahahhahUtopolo, machoko kabwili, gongowazi, chura, hawana hata kiwanja cha mazoezi utopolo
Sio kukipiga ni kupigwaKikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco [emoji1173] tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.