Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kikosi cha SIMBA kinaondoka leo nchini saa 9 Alasiri kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Mchezo huo utapigwa Machi 31 saa nne usiku kwa muda wa Morocco ambapo huku kwetu itakuwa Aprili Mosi saa saba usiku.