Wasalaam
Hii imekuwa kawaida kwa Yanga(GongoW) na wachambuzi wa mlengo wa kingongoW, yaani kila wakihisi Mnyama kawaacha kwa alama kadhaa lawama zote huwaangukia Karia na waamuzi.
Ushauri wangu:
Jifunzeni kwa mashabiki wa Mnyama, yeye mambo yakimwendea ndivyo sivyo anadeal na wachezaji au viongozi wake.