Duh, ilikua na odds ngapi hiyo GG?Kuna watu wana roho ngumu niliuliza sababu kuna mshkaji aliweka laki 5 ili ale million game ya leo ya simba. Ashavuta million yake kwa GG.
Endelea kushangilia mamamaeWoyoooooo thank you so much Bwalyaaaaaaa
Shabiki VipiNkana waje wachezaji Tu washangiliaji itawakuta hukuhuku
2.7Duh, ilikua na odds ngapi hiyo GG?
Safi sanaChonga tenaView attachment 975515
Safi sanaChonga tenaView attachment 975516
Heko mkuu...umetishaSimba 3 - 1 Nkana
Watasubiri sana na bado. Chama kama hataki vile kitu bao la tatu.Chonga tenaView attachment 975516
Hongera kwa Correct Score(Simba) 3 -1 (Nkana na Yanga)
Ha ha ha,Heko mkuu...umetisha
Tupe matokeo ya paka wa dampo mkuu...!!Hamna cha Simba hapo. Ni paka wa dampo kanenepa sana.
Injinia unaona aibu kusoma ubao hahahahOyoooooooo
Achana naye huyoTupe matokeo ya paka wa dampo mkuu...!!