Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Habar za mda huu ndug nashukuru kuwa hata sasa mchezo wa simba na nkana ulio ktk kipindi cha mapumziko ikiwa simba tunaoongoza kwa 2 -0 ...sasa waweza kuutazama chezo huu na michezo yote ya ligi kuu tpl na hata za ulaya kupitia app ya azamTV inayopatikana playstore mimi pia natazama mda huuu. .. Asanteni sana.. Tuombe simba ishinde mchezo huu ili isinge mbele zaidi.
Screenshot_20181223-165023.jpeg
Screenshot_20181223-163838.jpeg
 
Kuna watu wana roho ngumu niliuliza sababu kuna mshkaji aliweka laki 5 ili ale million game ya leo ya simba. Ashavuta million yake kwa GG.
Duh, ilikua na odds ngapi hiyo GG?
 
Hata msipo koment shaur yenu simba 3-1 nkana tunasonga mbele... Hatua ya makundi.
 
Back
Top Bottom