Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Tena dakika za majeruhiHasa lile goli la kimasimango la Chama, kama vile mazoezini kumbe big match.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena dakika za majeruhiHasa lile goli la kimasimango la Chama, kama vile mazoezini kumbe big match.
Hahahahaha safi mkuuZa asubuhi mkuu
HahahahaDu hii kauli sijui inageuzwaje muda huu!
Amekutelezea pangon mwakoJamaa kesho atateleza kama nyoka pangoni
Kesho ndio anafunga
Polee sn chura fc naona unadandia gari kw mbleeeOn behalf of all Zambians residing in Tanzania, we are full committed to ensure that the Red Devils, Nkana FC, knocks out Simba Sc.
Polee kfunga wafunga nkana kuumia muumie chura scHaina haja ya kuomba tangu wapo Zambia walikuwa na baraka zetu asilimia 500
Kwel kapiga goli nne leoJinsi Bwalya atakavyopiga 3 peke yake?
Groups of whatsuppFully committed..
Deal done. Nkana is through to the groups stage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchezo wa club bingwa Africa utakaopigwa leo uwanja mkuu wa taifa leo kati ya Simba na Nkana red devils ya pale kitwe Zambia,dhahiri shahili inaonyesha Nkana wananafasi kubwa ya kupata matokeo ugenini huku wakiwa wanaongoza goli 2-1.Huku simba wakihitaji goli moja tu ili kufuzu lakini mashabiki wengi wanawasiwasi na pazia lao pale langoni kama linaweza kuhimili dakika 90 bila kuruhusu huku wakiwa nabeki mbovu kabisa ya wawa ambaye hana speed na umri umenoga,japo wengi wanalialia aanze juko ambaye yeye dakika kumi nyingi atakuwa kala umeme(red card) kwa namna anavyocheza kama mieleka.
Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikologia kwa matokeo ya leo pale Taifa au hata mkienda kucheza sebuleni kwa Mo bado matumaini ni sifuri.
Kila la heri MTANZANIA mwenzetu Hassan Kessy ktk mchezo wa leoView attachment 975185
Ww una uwezo wa kuitoa sumbawanga fc [emoji2][emoji2][emoji2]Leo mnahamia shirikisho mikia hamna uwezo wa kuitoa Nkana hata wakicheza pungufu
Injiniaa soma hkoo[emoji2][emoji2][emoji2]simba mbili nkana 4 tukutane saa kumi na mbili jioni
Katolewa kibiraHamna jinsi Kabisa unajua Kessy ni balozi wa nchi huko Zambia... Anawawakilisha watanzania wasiopungua milioni 50....utaonekana wa ajabu uache watu wote Hao halafu upoteze muda kwa watu wasiozidi milioni 2....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Injiniaa soma hko[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Narudia tena na tena. Nkana ni timu yenye staha sana. Hivyo mikia watakula mbili tu. Aggregate 4:1
We jamaa mchawi(Simba) 3 -1 (Nkana na Yanga)
Woyoooooo thank you so much Bwalyaaaaaaa
lipo sehemu nyingi nfo raha ya soka mkuu,ni utashi wako uwanjani ushabilie nn,ndo raha ya soka inampa morale ht simba akiskia yanga watakua na nkana
Kavulata, uliangalia leo mpira? Au uliangalia upokezi wa ndege tukufuSimba itapata bao Tu bila shida lakini kuwazuia Nkana wasipate bao ndiyo itakuwa kazi ngumu Kwa Simba.
Hii timu ina tabia ya kukodishwa kodishwa ovyo, ndio Maana hata Manji alitaka kuikodi.Nasikia mnaongoza dunian kwa kushabikia timu nyingi, mfano juzi kati mlishabikia mbabane, na nkana sasa bado kwenye makundi!
Pambaneni na hali zenu mfanye uchaguzi kwanza!