Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Vinuka mkojo na roho zao za kwanini.Mbona mmepotea?Matokeo ngapi ngapi?
Ohh Nkana mtabadili timu mpaka mkome.
Simba ndio wawakilishi dume Nchi hii wengine wote vibinti tu.
 
On behalf of all Zambians residing in Tanzania, we are full committed to ensure that the Red Devils, Nkana FC, knocks out Simba Sc.
Polee sn chura fc naona unadandia gari kw mbleee
 
Reactions: Tui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katolewa kibira
 
lipo sehemu nyingi nfo raha ya soka mkuu,ni utashi wako uwanjani ushabilie nn,ndo raha ya soka inampa morale ht simba akiskia yanga watakua na nkana


Wapi?

Lipo sehemu nyingi wapi?
 
Nasikia mnaongoza dunian kwa kushabikia timu nyingi, mfano juzi kati mlishabikia mbabane, na nkana sasa bado kwenye makundi!
Pambaneni na hali zenu mfanye uchaguzi kwanza!
Hii timu ina tabia ya kukodishwa kodishwa ovyo, ndio Maana hata Manji alitaka kuikodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…