Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Simba pale nyuma aanze wawa na juuko, alafu elasto aende beki wa kulia , shabarara kama kawa, kotei dimba la chini mkude juu, dilunga na chama, okwa na kagere, sub kichuya na boko, game tunashinda
Wawa tena ambae hana pace na wala hawezi kufanya tackles atawaweza washambuliaji wa Nkana
 
Wapenzi wa Nkana tuoneshwe mapema mahala pa kukomenti humu ndani aisee.vinginevyo tutaonana wabaya.
 
Fellow Zambians, I honour your kindly support for Nkana FC tomorrow at the National Stadium in Daresalam.
United we stand, divided we fall.
 
Fellow Zambians, I honour your kindly support for Nkana FC tomorrow at the National Stadium in Daresalam.
United we stand, divided we fall.
 
Kikosi bora kinafungwa na Mbao FC
mbona ni kawaida mzee?!
hata Barcelona aliwahi fungwa na las Palma team iliyopanda daraja

PSG aliwahi kula nao 4 na real betis katimu ambacho kalikuwa kashika mkia

kama.misimu mi2 nyuma man city alikula kamba 3 FA so who iz simba mpaka asifungwe na mbao???
 
Pale nyuma mikia ni majanga tu,manula pazia,wawa Babu,juko dakika 5 red card😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…