Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,087
- 2,134
Muichangie Nkana, wakati kwenu ni njaa tupu?Kwa nini wanahangaika hivyo? Sisi hatuhitaji maombi yao we are very very committed on that, kwa muda huu mfupi hata wangeanzisha kampeni ya changia Nkana iitoe simba tungechanga
Pale kwa Wawa mlikula hasara ila hamtaki tu kukubali! Wazalendo halisi tumsapoti Kessy na Nkana yakeWawa tena ambae hana pace na wala hawezi kufanya tackles atawaweza washambuliaji wa Nkana
kila kheri simba ijapokuwa sio mwanachama wako, ila siioni faida ya kukuombea mabaya,
halafu malizaneni na nkana haraka mje mtukute TPL,
ukutane na viporo vyake uvile utakavyovikuta vya moto,vingine vya baridi, vya kukuchachia vikuchachie utajua mwenyewe.
sisi tuko tumejizatiti kileleni! tunawafanyia timing na mahesabu, azam fc na mbeya city
WamakaratasiSimbaaaaaa
Na simbaaaaa akishinda Leo tukavuka adi robo tunapeleka timu Tatu mwakani kimatafa nashangaa Sana wanaoiombea simbaaaaa mabayaMungu akiwa upande wetu, nani atasimama? SIMBA KAMA DAWA YA MAUMIVU YA WATZ na kukwapuliwa pesa zao huko mabenki
Asante mkuuTulianza na Mbabane akamezwa na mnyama Leo The red devils Wana kanwa na mnyama na kuliwa anayebisha aje apa atoe comment ya kubishana akiwa na kess wake View attachment 975116
Angalia bdae msije kupoteana maan hamchelewWamakaratasi
Asante mkuuView attachment 975156