Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Ombi lao nmelipokea na nawaahidi Nkana kuungana nao kuwasambalatisha mbumbumbu katika michuano
Nkana.jpeg
 
Kwa nini wanahangaika hivyo? Sisi hatuhitaji maombi yao we are very very committed on that, kwa muda huu mfupi hata wangeanzisha kampeni ya changia Nkana iitoe simba tungechanga
Muichangie Nkana, wakati kwenu ni njaa tupu?
Tukanunue basi na Jezi za Nkana tuujaze uwanja
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Waombe support wakati tayari hipo la kama wewe ni mgeni pale National stadium
 
Tulianza na Mbabane akamezwa na mnyama Leo The red devils Wana kanwa na mnyama na kuliwa anayebisha aje apa atoe comment ya kubishana akiwa na kess wake
FB_IMG_15455455948129851.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Tui
kila kheri simba ijapokuwa sio mwanachama wako, ila siioni faida ya kukuombea mabaya,

halafu malizaneni na nkana haraka mje mtukute TPL,

ukutane na viporo vyake uvile utakavyovikuta vya moto,vingine vya baridi, vya kukuchachia vikuchachie utajua mwenyewe.
sisi tuko tumejizatiti kileleni! tunawafanyia timing na mahesabu, azam fc na mbeya city
 
Tupoo tunakuja ugukaya, tutakuja kusimama juu kileleni jiandaeni
kila kheri simba ijapokuwa sio mwanachama wako, ila siioni faida ya kukuombea mabaya,

halafu malizaneni na nkana haraka mje mtukute TPL,

ukutane na viporo vyake uvile utakavyovikuta vya moto,vingine vya baridi, vya kukuchachia vikuchachie utajua mwenyewe.
sisi tuko tumejizatiti kileleni! tunawafanyia timing na mahesabu, azam fc na mbeya city
 
Mungu akiwa upande wetu, nani atasimama? SIMBA KAMA DAWA YA MAUMIVU YA WATZ na kukwapuliwa pesa zao huko mabenki
 
Mungu akiwa upande wetu, nani atasimama? SIMBA KAMA DAWA YA MAUMIVU YA WATZ na kukwapuliwa pesa zao huko mabenki
Na simbaaaaa akishinda Leo tukavuka adi robo tunapeleka timu Tatu mwakani kimatafa nashangaa Sana wanaoiombea simbaaaaa mabaya
 
Back
Top Bottom