Huo mwandiko balaa. Ndiyo level ya mashabiki wa mnyama au?Tulianza na Mbabane akamezwa na mnyama Leo The red devils Wana kanwa na mnyama na kuliwa anayebisha aje apa atoe comment ya kubishana akiwa na kess wake View attachment 975116
Huo
Huo mwandiko balaa. Ndiyo level ya mashabiki wa mnyama au?
Leo mnakula mbili mapema.
Labda mtoe kafara ya mtu wenu mpiga keleleNyumbani ni nyumbani tuu Leo lazma afe nkana
Nkana analiza kazi leo. Tena mapema tu. Baada ya hapo itakuwa viporo vilivyochacha iwe vya pilau, kande, maharage au samaki waliovunda.Nkana yamalizeni haya mambo ili mutuachie watu wetu tuje tuendelee na TPL yetu.
Aisee we jamaa MUNGU anakuona[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Asante mkuuView attachment 975156
We lete ubashite wako kwa mambo seriousNyumbani ni nyumbani tuu Leo lazma afe nkana
ππππAsante mkuuView attachment 975156
Kamati ya roho mbaya tupo tayari kabisa nikiwa kama msemaji waoKwa nini wanahangaika hivyo? Sisi hatuhitaji maombi yao we are very very committed on that, kwa muda huu mfupi hata wangeanzisha kampeni ya changia Nkana iitoe simba tungechanga
We ndo utapotea hata kwenda kwakoAngalia bdae msije kupoteana maan hamchelew
Nyeupe bado ni mnyama.Sasa wavae jezi zao za ugenini ili tutenganishe nyekundu na kijani