Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Huo
Leo mnakula mbili mapema.
Huo mwandiko balaa. Ndiyo level ya mashabiki wa mnyama au?Tulianza na Mbabane akamezwa na mnyama Leo The red devils Wana kanwa na mnyama na kuliwa anayebisha aje apa atoe comment ya kubishana akiwa na kess wake View attachment 975116
Leo mnakula mbili mapema.