jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,204
- 1,939
Nitakutafuta kukusabahi mkuu. Nakushauri kanunue panadol kabisa za kutuliza maumivu.Mkuu acha kujitoa ufahamu kirahisi ivyo
Hamna jinsi Kabisa unajua Kessy ni balozi wa nchi huko Zambia... Anawawakilisha watanzania wasiopungua milioni 50....utaonekana wa ajabu uache watu wote Hao halafu upoteze muda kwa watu wasiozidi milioni 2....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee we jamaa MUNGU anakuona[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Njoo taifa nitakuwepo pale VIP BNitakutafuta kukusabahi mkuu. Nakushauri kanunue panadol kabisa za kutuliza maumivu.
Kunya anye Kuku akinya bata kaharisha,mmesahau yale ya TP Mazembe?Hivi Simba SC ilipokwenda kucheza Zambia iliomba support ya washabiki wa timu mahasimu wa Nkana Red Devils?
Mbona sisi watanzania tunakuwa hatuwezi kujitathmini uzalendo wetu? Hii tabia tuiache mara moja, uhasama wetu wa kimichezo uwe ndani ya nchi tu baina ya wenyewe kwa wenyewe, lakini pindi tukishindana na mgeni lazima tuwe kitu kimoja kuishangilia timu yetu ambayo ndiye muwakilishi wa nchi yetu.
Utani ni jadi yetu lakini uzalendo ni kipaumbele chetu.
Tunasubiri Mabeberu wakinukishe tuwape support ya kutosha.Iko siku tutapigana vita Halafu tukaombwa support Na adui tukatoa jinsi tulivo nyumbu
Mungu ubariki Simba
Mungu bariki Tz
#Kufanakupona
Tusahau yaliyopita, na kila kitu kina mwanzo na naona mwanzo wa huu uzalando ni sasa, tuisapoti Simba SC dhidi ya Nkana.Kunya anye Kuku akinya bata kaharisha,mmesahau yale ya TP Mazembe?
Hamna cha Simba hapo. Ni paka wa dampo kanenepa sana.Wadau simba wanajitapa Sana mtaani sasa mtudhihirishie kuwa Kama kweli huyu ndo Yule simba wa Nyika au atabaki kuwa simba wa maonyesho ya nanenane na sabasaba
Mkuu ni stress zako tu,hii ndo raha ya soka.Hivi Simba SC ilipokwenda kucheza Zambia iliomba support ya washabiki wa timu mahasimu wa Nkana Red Devils?