Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Aisee we jamaa MUNGU anakuona[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hamna jinsi Kabisa unajua Kessy ni balozi wa nchi huko Zambia... Anawawakilisha watanzania wasiopungua milioni 50....utaonekana wa ajabu uache watu wote Hao halafu upoteze muda kwa watu wasiozidi milioni 2....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
*binafsi usije ukaamini Timu za tanzania,. Mimi ni mshabiki wa Simba tokea zamani sana,.. Lakini hizi Timu pale utapoiamini kwa kiwango kikubwa Hapo Ndipo wanapokuumiza saana,.. Mfano taifa stars huko lesotho, nilishapoteza imani kabisa Kuhusu Hii Timu yetu But nilivyoanza kuipenda kwa dhati Ndipo wakaniumiza sana kwa kiasi kikubwa saaana,.. Nawashauri tu Simba ni Timu yetu pendwa usiweke matumaini sana maana Ukiweka matumaini makubwa utaumia sana na Usiku wako utakua mbaya sana

Nkana ni wachezaji wazuri nawashauri wanasimba wenzangu tusiende na Matokeo kichwani , msije mkaumia sana,..
 
Hivi Simba SC ilipokwenda kucheza Zambia iliomba support ya washabiki wa timu mahasimu wa Nkana Red Devils?
Mbona sisi watanzania tunakuwa hatuwezi kujitathmini uzalendo wetu? Hii tabia tuiache mara moja, uhasama wetu wa kimichezo uwe ndani ya nchi tu baina ya wenyewe kwa wenyewe, lakini pindi tukishindana na mgeni lazima tuwe kitu kimoja kuishangilia timu yetu ambayo ndiye muwakilishi wa nchi yetu.
Utani ni jadi yetu lakini uzalendo ni kipaumbele chetu.
Kunya anye Kuku akinya bata kaharisha,mmesahau yale ya TP Mazembe?
 
Iko siku tutapigana vita Halafu tukaombwa support Na adui tukatoa jinsi tulivo nyumbu
Mungu ubariki Simba
Mungu bariki Tz

#Kufanakupona
Tunasubiri Mabeberu wakinukishe tuwape support ya kutosha.
 
Wadau simba wanajitapa Sana mtaani sasa mtudhihirishie kuwa Kama kweli huyu ndo Yule simba wa Nyika au atabaki kuwa simba wa maonyesho ya nanenane na sabasaba
 
Weka akiba ya maneno....
At the end of the day lazima apatikane champion mmoja wa mashindano either simba or nkana au yeyote yule.

Mwenye akili timamu atajua kuna mshindi na mshindwa.
 
Kunya anye Kuku akinya bata kaharisha,mmesahau yale ya TP Mazembe?
Tusahau yaliyopita, na kila kitu kina mwanzo na naona mwanzo wa huu uzalando ni sasa, tuisapoti Simba SC dhidi ya Nkana.
Mimi mwenyewe ni shabiki wa Yanga lakini kwa hii mechi nipo na Simba SC.
 
Hivi Simba SC ilipokwenda kucheza Zambia iliomba support ya washabiki wa timu mahasimu wa Nkana Red Devils?
Mbona sisi watanzania tunakuwa hatuwezi kujitathmini uzalendo wetu? Hii tabia tuiache mara moja, uhasama wetu wa kimichezo uwe ndani ya nchi tu baina ya wenyewe kwa wenyewe, lakini pindi tukishindana na mgeni lazima tuwe kitu kimoja kuishangilia timu yetu ambayo ndiye muwakilishi wa nchi yetu.
Utani ni jadi yetu lakini uzalendo ni kipaumbele chetu.
Mkuu ni stress zako tu,hii ndo raha ya soka.
Dont take everything so serious.
Cheers'[emoji1787]
 
Narudia tena na tena. Nkana ni timu yenye staha sana. Hivyo mikia watakula mbili tu. Aggregate 4:1
 
Back
Top Bottom