Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Simba kupata bao kwa Nkana sio shida, shida ni kuwazuia nao kupata bao

Nalala,nikiamka najua mambo yatakuwa tayari Nishauuua.
Nina wasiwasi na Simba.
 
Wakitinga huo uzi wa katikati... Itapendeza sana
images%20(10).jpeg
 
Thread za Simba Vs Nkana zimekuwa nyingi, tunashindwa kufuatilia kwa ukaribu.

Vv
 
*Wakishinda tutashukuru wanatuwakilisha vema kimataifa,wakifungwa tutashukuru sana kwa sababu tunamuunga mkono mtanzania mwenzetu Hassan Kessy anayecheza soka la kulipwa huko Zambia hivyo anatuwakilisha vema huko nje🤸🏼‍♂🤸‍♀[emoji13].*
 
Back
Top Bottom