Wewe tuu maoni yako yanapokelewa, wenzio watuache kwanza ๐ ๐Mbona nyie mliingilia suala la Feisal na hata majuzi hapo mkamuunga mkono Gamondi kwenye kukataa mechi kupewa jina la mchezaji?
Tanzania ni yetu sote kabla ya timu, na maendeleo hayana timu Mkuu.
KWA HIYO SHABALALA HANA UFAHAMU NA ILE LUGHA YA KIKOLONI?Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo Bocco ameachwa katika safari wakati katika uwanja wa mazoezi anaonekana. Safari ya kwanza ilikuwa ile ya Botswana kucheza dhidi ya Jwaneng Galaxy.
Kuna dalili zote kuwa Benchikha hakubaliani na uwepo au uongozi wa Bocco katika timu maana hizi ni mechi muhimu sana na kuachwa kwa Bocco katika safari nzima kuna tafsiri iliyo wazi.
Nani unadhani anastahili kuchukua unahodha wa Simba?
Kwa mtazamo wangu, Simba inahitaji nahodha mwenye ufahamu mzuri wa lugha ya kigeni, hii itasaidia kuwakabili marefa katiks mechi za kimataifa. Pia inabidi kuwa anaweza kuisimamia timu na kuhakikisha nidhamu na ari ya kushindana kupo kwa hali ya juu ndani na nje ya uwanja wa mazoezi na mechi.
Hao wasio na akili wamewazalisha Simba mapacha waliofana wawili sura ya zengeli...na wengine watatu kila mmoja ana sura ya baba yake...mmoja sura azizi....mwingine sura ya musonda....na wa mwisho pacome mtupu....bado MAMA anakandwa maji ya uvuguvugu mbususu irudi kwenye hali yake.
Acha kupenda ushoga...kizazi chako kitalaaniwa kwa maneno yako...Hao wasio na akili wamewazalisha Simba mapacha waliofana wawili sura ya zengeli...na wengine watatu kila mmoja ana sura ya baba yake...mmoja sura azizi....mwingine sura ya musonda....na wa mwisho pacome mtupu....bado MAMA anakandwa maji ya uvuguvugu mbususu irudi kwenye hali yake.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Simba kwenye mech hyo anakufa, wydad kapoteza mech 2, hatakubali kupoteza ya 3 kabisa.
Kibu Denis Mkandaji.Kura ndiyo muhimu kwanza ingawa kama una mchezaji hajatajwa hapo juu unaweza kumtaja kwenye post
Chama hatokuwepo Simba next season.Usinga akabidhiwe Onana maana anaongea mpaka kifaransa jokes....ila chama anafaa
Msaifizi tena!!!Tshabalala ndo anastahili kukivaa labda tujadili msaifizi wake awe hata Che Malone
Chama ndiye anayeongoza kwenye kura.Chama hatokuwepo Simba next season.
tukutane hapa jmos baada ya dk 90+Hakuna cha kukubali wala kukataa.
Kwani hizรณ mechi 2 Wydad walikubali kupoteza au walilazimika?
tukutane hapa baada ya dk 90+ jmosikwani hizo 2 alipoteza vp๐๐๐๐
Mashabiki wanampenda ila sio level ya kuwa starter simba saiv.Chama ndiye anayeongoza kwenye kura.
Unafikiri hata hizo mechi 2 alizopoteza alikubali kwa hiari yake? Alilazimishwa na ndio kitamtokea tena weekend hii, kulazimishwa.tSimba kwenye mech hyo anakufa, wydad kapoteza mech 2, hatakubali kupoteza ya 3 kabisa.