Tetesi: Simba kupata Captain mpya hivi karibuni

Tetesi: Simba kupata Captain mpya hivi karibuni

Nani anastahili kuwa nahodha mpya wa Simba?

  • Henock Inonga

    Votes: 11 16.7%
  • Shomari Kapombe

    Votes: 7 10.6%
  • Clatous Chama

    Votes: 12 18.2%
  • Che Malone

    Votes: 3 4.5%
  • Fabrice Ngoma

    Votes: 4 6.1%
  • Mzamiru Yassin

    Votes: 4 6.1%
  • Moses Phiri

    Votes: 2 3.0%
  • Denis Kibu

    Votes: 16 24.2%
  • Essomba Onana

    Votes: 5 7.6%
  • Kennedy Juma

    Votes: 2 3.0%

  • Total voters
    66
  • Poll closed .
Mbona nyie mliingilia suala la Feisal na hata majuzi hapo mkamuunga mkono Gamondi kwenye kukataa mechi kupewa jina la mchezaji?

Tanzania ni yetu sote kabla ya timu, na maendeleo hayana timu Mkuu.
Wewe tuu maoni yako yanapokelewa, wenzio watuache kwanza 😀 😀
 
Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo Bocco ameachwa katika safari wakati katika uwanja wa mazoezi anaonekana. Safari ya kwanza ilikuwa ile ya Botswana kucheza dhidi ya Jwaneng Galaxy.

Kuna dalili zote kuwa Benchikha hakubaliani na uwepo au uongozi wa Bocco katika timu maana hizi ni mechi muhimu sana na kuachwa kwa Bocco katika safari nzima kuna tafsiri iliyo wazi.

Nani unadhani anastahili kuchukua unahodha wa Simba?

Kwa mtazamo wangu, Simba inahitaji nahodha mwenye ufahamu mzuri wa lugha ya kigeni, hii itasaidia kuwakabili marefa katiks mechi za kimataifa. Pia inabidi kuwa anaweza kuisimamia timu na kuhakikisha nidhamu na ari ya kushindana kupo kwa hali ya juu ndani na nje ya uwanja wa mazoezi na mechi.
KWA HIYO SHABALALA HANA UFAHAMU NA ILE LUGHA YA KIKOLONI?
 
Ndo maana wenye akili ni wawili Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wasio na akili wamewazalisha Simba mapacha waliofana wawili sura ya zengeli...na wengine watatu kila mmoja ana sura ya baba yake...mmoja sura azizi....mwingine sura ya musonda....na wa mwisho pacome mtupu....bado MAMA anakandwa maji ya uvuguvugu mbususu irudi kwenye hali yake.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hao wasio na akili wamewazalisha Simba mapacha waliofana wawili sura ya zengeli...na wengine watatu kila mmoja ana sura ya baba yake...mmoja sura azizi....mwingine sura ya musonda....na wa mwisho pacome mtupu....bado MAMA anakandwa maji ya uvuguvugu mbususu irudi kwenye hali yake.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Acha kupenda ushoga...kizazi chako kitalaaniwa kwa maneno yako...
 
Back
Top Bottom