Simba kupata sare na Al-Ahly ni uimara wa Simba au udhaifu wa Al-Ahly?

Hata Ihefu iliifunga Yanga. Lakini Inawezekana pia ligi ya Egypt inashuka pia na ligi ya Tanzania imepanda. Yaani Al-ahly inapata matokeo kwenye timu dhaifu za ligi
Sawa si watakuja mtacheza nao.weka akiba
 

Ni vigumu sana kusema Simba imeimarika kwakuwa kwa miaka 2 bingwa wa ligi ni Yanga, kwa miaka 4 Simba inaishia robo finali za mashindano ya CAF na juzi TU imeshindwa kumtoa Al-Ahly AFL wakati ilikuwa na uwezo huo.
 
Sawa si watakuja mtacheza nao.weka akiba
Al-Ahly anafahamu vitu vitatu (3) mpaka sasa hivi kuhusu CAF championship, kwamba Yanga ilicheza finali za Caf confederation, US Algers ilifungwa na Yanga nyumbani kwao, na Yanga ndio club bingwa wa ligi ya Tanzania kwa miaka 2 mfululizo kwenye ligi ambayo Simba imo pia. Matokeo ya mpira ndiyo yatakayoamua mechi lakini sio udhaifu wa Yanga.
 
Na uyo mamelod amekua akimfunga al haly alafu anaishia wapi mwaka Jana kampiga pale south za kutosha mwenzake kaenda kua bingwa yeye je?
 
Na uyo mamelod amekua akimfunga al haly alafu anaishia wapi mwaka Jana kampiga pale south za kutosha mwenzake kaenda kua bingwa yeye je?
Timu za kaskazini ni kama vile zimeruhusiwa na caf/'FIFA kucheza kihuni bila kupewa adhabu wakiwa nyumbani kwao. HIzi timu za kaskazini mpira wao umefikiwa na timu za kanda nyingine lakini zinatumia mbinu chafu kama kuwasha moto, kumulika tochi usoni, kujiangusha, nk. ili kushinda.
 
Yanga akimfunga Al Ahaly hata mechi moja tu. Mashabiki wa Simba mtakoga matusi ni mpaka mchanganyikiwe. Tuombee Yanga naye afungwe au atoke sare ili kuchekana kuwe pale pale.
Al Ahly ya moto ilipata taabu kumtoa Yanga miaka ile, sijui Al Ahly hii UNGA itapataje ahueni,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…