Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Inasemekana Klabu ya Simba ipo mbioni Kupendekeze uwanja wa Amahoro Stadium uliopo Kigali Nchini Rwanda
Hili Linakuja baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa na CAF baada ya kukosa vigezo, pia Uwanja Wa Aman Uliopo Zanziba upo kwenye Matengenezo hivyo haupo tayari kwa matumizi, na vile vile Uwanja wa Azam complex uliopo Chamazi hauna Vigezo kwa matumizi ya michuano hii kwenye hatua ya Robo fainal