felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Dhahabu ikipita kwenye moto inang'aa mkuu. Tafsiri ya ubaya ubwela iendelee kufanya kazi. Popote pale ubaya ubwela ifanye kazi..Hii taarifa imenitia hasira sana. Hizi ni hujma za wazi dhidi ya Simba.
Niliwahi kusema msimu huu utakapokuwa unaisha, Simba ina nafasi ya kuwa klabu ya 3 kwa ubora Afrika. Kuna watu hili linawatisha na ndiyo maana vita inazidi kuwa kubwa.