Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Amaan Stadium , Azam Complex, Namboole au St. Mary's KitendeInasemekana Klabu ya Simba ipo mbioni Kupendekeze uwanja wa Amahoro Stadium uliopo Kigali Nchini Rwanda
Ethiopia?Pelekeni Abebe Bikira
Hii taarifa imenitia hasira sana. Hizi ni hujma za wazi dhidi ya Simba.Bora waende kigali..hili linchi halina shukurani kwa timu iliyoleta heshima na kuitambulisha Tanzania Duniani kisoka...Simba ni kubwa kuliko Tanzania.
Sio mbaya mana watatupunguzia hekaheka tutafocus na vitu vingine sasaNi aibu kwa taifa letu, tena lenye ling # 5 kwa ubora Africa. Na hiyo Chan itahamishiwa Kigali
Ule wa Azam kwa hatua ya robo fainal haikidhi vigezo vya CAF na Aman upo kwenye matengenezoNi viwanja viwili tu. Azam comp.
New amaan hawana ujanja mwingine
Kwa mujibu wa msemaji wa serikali anasema uwanja wa kwa mkapa upo sawa na amewaambia maafisa wawaite wakaguzi waje kukagua hata leo.Ule wa Azam kwa hatua ya robo fainal haikidhi vigezo vya CAF na Aman upo kwenye matengenezo
Mzee wa ufafanuzi Muongomuongo anatetea kazi za watu ile 30B imepigwa na kuna michuano ya CHAN inakuja CAF si Wajinga wanajua huu ndo Muda wa kuwashinikiza Wafanye marekebisho ili hii michuano isije ikafeli tenaKwa mujibu wa msemaji wa serikali anasema uwanja wa kwa mkapa upo sawa na amewaambia maafisa wawaite wakaguzi waje kukagua hata leo.
Simba imebakiwa na mechi mbili, kelele zitakuwa zimeisha mjiniHii taarifa imenitia hasira sana. Hizi ni hujma za wazi dhidi ya Simba.
Niliwahi kusema msimu huu utakapokuwa unaisha, Simba ina nafasi ya kuwa klabu ya 3 kwa ubora Afrika. Kuna watu hili linawatisha na ndiyo maana vita inazidi kuwa kubwa.
Hawataki azam complexInasemekana Klabu ya Simba ipo mbioni Kupendekeze uwanja wa Amahoro Stadium uliopo Kigali Nchini Rwanda
Hili Linakuja baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa na CAF baada ya kukosa vigezo, pia Uwanja Wa Aman Uliopo Zanziba upo kwenye Matengenezo hivyo haupo tayari kwa matumizi, na vile vile Uwanja wa Azam complex uliopo Chamazi hauna Vigezo kwa matumizi ya michuano hii kwenye hatua ya Robo fainalView attachment 3267712