Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
- Thread starter
- #81
Ndanda ndiyo anadai point sio Yanga. Lakini nyie eti mnadai point za mechi alizocheza Kessy. Wakati huo huo million 50 mnazitaka.Vipi mmeshapewa pointi 3?Mliambiwa hamna kanuni hiyo hamsikii. Mmeanza kupiga wachezaji sasa?
Yote kwa yote tusubiri kamati husika iseme hamna kanuni !