Holy Trinity
Member
- Oct 10, 2023
- 25
- 32
Kama vilivyotawala kipindi cha Luc Eymael hadi kuwaita manyaniMbumbumbu vilio vitatawala
hiyo sasa itafanya watu wadundane kabisa...msimbazi itageuka GAZA nakwambiaKwa ninavyoifahamu SIMBA Huwa ikitoka ufungwa na Yanga basi ujue mechi inatofuata ni SARE au kipigo kabisa, Ili hilo lisitokee inabidi 80% ya wachezaji ambao hawakuanza mechi ya Yanga wacheze
Wacha wapigwe kama ngoma.Kwa ninavyoifahamu SIMBA Huwa ikitoka ufungwa na Yanga basi ujue mechi inatofuata ni SARE au kipigo kabisa, Ili hilo lisitokee inabidi 80% ya wachezaji ambao hawakuanza mechi ya Yanga wacheze