Simba kupoteza tena ama kutoa sare dhidi ya Prison

Simba kupoteza tena ama kutoa sare dhidi ya Prison

Timu imeshapoteza points 5. Una uhakika haiwezi kukufikia tena lakini bado unawanga ili izidi kupoteza.

Sasa nimeamini kuna mambo mengi yanayofanyika gizani kuihujumu Simba.
 
Yani machozi ya uchungu yananitoka kila nikifikiria mateso ya makolo wanayopitia. Msimu huu atashika nafasi ya nne.
 
Kwa ninavyoifahamu SIMBA Huwa ikitoka ufungwa na Yanga basi ujue mechi inatofuata ni SARE au kipigo kabisa, Ili hilo lisitokee inabidi 80% ya wachezaji ambao hawakuanza mechi ya Yanga wacheze
Wacha wapigwe kama ngoma.
 
Back
Top Bottom