Simba kusajili Beki ni kweli ndio uhitaji wa Simba kwa sasa?

Asante Kwasi ni Beki na vile vile mshambuliaji.
Hadi sasa ana magoli kama manne au matano na kuwazidi washambuliaji wengi tu ktk Ligi ya VPL.
Simba wakiweza wamsajiri Asante kwasi kwani anaweza kucheza kama Beki au Mshambuliaji na akaleta matokeo mazuri.
Kazi kwenu kamati ya Usajiri mkichelewa wapinzani wenu watamnyakua na mtakuja jutia siku za usoni.
Hanspop chukua Mashine hiyo.
 
Mwanjali ni mzuri ila umri umeenda Juuko ni mzuri aachwe hapo wakutemwa ni Mavugo, Gyan, na Manjali kwa professionals locals kapombe. Mwambeleko. Kazimoto.
Ningekua mim asante kwasi nisingeenda simba wala yanga angejifunza kwa mwenzie Jamal mwambeleko apo c bench tuu hata juju zitamshusha kiwango kuna watu wanaitwa maestro huko,
 
Mwanjali ni mzuri ila umri umeenda Juuko ni mzuri aachwe hapo wakutemwa ni Mavugo, Gyan, na Manjali kwa professionals locals kapombe. Mwambeleko. Kazimoto.
Huyu mwambeleko amecheza mechi hata moja kweli?
 
Timu kubwa kama simba haipaswi kuwa na kamati ya usajili. Mpira unabadilika sana duniani. Ni wakati wa simba sasa kuwa na timu ya watu wanaoujua mpira na kuwa na uwezo wa kung'amua vipaji kufuatilia wachezaji muda mrefu hata mwaka mzima kabla hawajasajiliwa. Sio leo Asante Kwasi wa lipuli anakufunga goli gafla tu unataka umsajili. Kesho akija ndikumana wa mbao akikufunga je utamuacha huyo Kwasi uliyemsajili jana? Vile vile wanapaswa wawe na daktari aliyefuzu tiba ya michezo na waingie ubia na hospitali mojwapo kubwa. Ili pale ambapo mchezaji wakishakubaliana kabla hajasaini apimwe afya yake. Siku niliposikia kiongozi mmoja anabwabwaja kwenye vyombo vya habari kuwa Kapombe amepona lakini anaogopa kucheza nilicheka sana kwa sababu kwanza kiongozi huyo sio daktari, pili kiongozi huyo huyo ndiye aliyemsajili Kapombe kwa mwendokasi bila hata kumpima afya yake na rekodi zake za matibabu kila mtu anazijua toka akiwa Azam. Kwa msisitizo zaidi mahitaji ya simba sasa hivi ni wafungaji wawili tu mmoja mbongo na mwinngine mleteni toka nje. Hawa waliopo timueni wote Mavugo, Gyan na Luizio mbakisheni Boko.
 
Daaaah tupo Pamoja sana mkuu umeongezea bonge la nyama..... Hizi timu kweli zinatakiwa ziwe the Scouts sio kamati za usajili...
 
Kinacho fanyika Simba ni TUMIA PESA IKUZOEE.....
 
Yeah...Joo
 
Simba haijafanya usajili wowote. Hiyo habari ungeiacha hapo hapo ulipoisoma kwenye gazeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…