Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaaaa kama ukweli umekuuma tafadhali kunya nanasiOmba nafasi ya ushauri kwenye kamati ya usajili ya Simba usituchoshe hapa
Ni kweli kabsa mkuu manara kackia mwanjale kapungua kiwango Mara paaap kamtoa loooooordiiee king mavu goal kamleta beki yaan timu haina uwiano kbx.na mwaka huu kombe watalckia kiss FMTimu anasajiri haji manara io
Ningekua mim asante kwasi nisingeenda simba wala yanga angejifunza kwa mwenzie Jamal mwambeleko apo c bench tuu hata juju zitamshusha kiwango kuna watu wanaitwa maestro huko,Mwanjali ni mzuri ila umri umeenda Juuko ni mzuri aachwe hapo wakutemwa ni Mavugo, Gyan, na Manjali kwa professionals locals kapombe. Mwambeleko. Kazimoto.
Huyu mwambeleko amecheza mechi hata moja kweli?Mwanjali ni mzuri ila umri umeenda Juuko ni mzuri aachwe hapo wakutemwa ni Mavugo, Gyan, na Manjali kwa professionals locals kapombe. Mwambeleko. Kazimoto.
Daaaah tupo Pamoja sana mkuu umeongezea bonge la nyama..... Hizi timu kweli zinatakiwa ziwe the Scouts sio kamati za usajili...Timu kubwa kama simba haipaswi kuwa na kamati ya usajili. Mpira unabadilika sana duniani. Ni wakati wa simba sasa kuwa na timu ya watu wanaoujua mpira na kuwa na uwezo wa kung'amua vipaji kufuatilia wachezaji muda mrefu hata mwaka mzima kabla hawajasajiliwa. Sio leo Asante Kwasi wa lipuli anakufunga goli gafla tu unataka umsajili. Kesho akija ndikumana wa mbao akikufunga je utamuacha huyo Kwasi uliyemsajili jana? Vile vile wanapaswa wawe na daktari aliyefuzu tiba ya michezo na waingie ubia na hospitali mojwapo kubwa. Ili pale ambapo mchezaji wakishakubaliana kabla hajasaini apimwe afya yake. Siku niliposikia kiongozi mmoja anabwabwaja kwenye vyombo vya habari kuwa Kapombe amepona lakini anaogopa kucheza nilicheka sana kwa sababu kwanza kiongozi huyo sio daktari, pili kiongozi huyo huyo ndiye aliyemsajili Kapombe kwa mwendokasi bila hata kumpima afya yake na rekodi zake za matibabu kila mtu anazijua toka akiwa Azam. Kwa msisitizo zaidi mahitaji ya simba sasa hivi ni wafungaji wawili tu mmoja mbongo na mwinngine mleteni toka nje. Hawa waliopo timueni wote Mavugo, Gyan na Luizio mbakisheni Boko.
Yeah...JooTimu kubwa kama simba haipaswi kuwa na kamati ya usajili. Mpira unabadilika sana duniani. Ni wakati wa simba sasa kuwa na timu ya watu wanaoujua mpira na kuwa na uwezo wa kung'amua vipaji kufuatilia wachezaji muda mrefu hata mwaka mzima kabla hawajasajiliwa. Sio leo Asante Kwasi wa lipuli anakufunga goli gafla tu unataka umsajili. Kesho akija ndikumana wa mbao akikufunga je utamuacha huyo Kwasi uliyemsajili jana? Vile vile wanapaswa wawe na daktari aliyefuzu tiba ya michezo na waingie ubia na hospitali mojwapo kubwa. Ili pale ambapo mchezaji wakishakubaliana kabla hajasaini apimwe afya yake. Siku niliposikia kiongozi mmoja anabwabwaja kwenye vyombo vya habari kuwa Kapombe amepona lakini anaogopa kucheza nilicheka sana kwa sababu kwanza kiongozi huyo sio daktari, pili kiongozi huyo huyo ndiye aliyemsajili Kapombe kwa mwendokasi bila hata kumpima afya yake na rekodi zake za matibabu kila mtu anazijua toka akiwa Azam. Kwa msisitizo zaidi mahitaji ya simba sasa hivi ni wafungaji wawili tu mmoja mbongo na mwinngine mleteni toka nje. Hawa waliopo timueni wote Mavugo, Gyan na Luizio mbakisheni Boko.
Niyonzima wetu ni tofauti na yule aliyekuwepo Yanga!Sawa tumekuelewa... Pambana na Yanga yako.