BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mwarabu anakufa mapemaaaaaa
Thubutuu...
Almasily 3-1 Lion
Though naitakia Simba ushindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwarabu anakufa mapemaaaaaa
Simba imewatoa waarabu mara ngapiKama mnadhani simba ni chura subirini muone.kawaida sana simba kuwatoa waarabu.
[emoji23] [emoji23] [emoji125]Haloo CAF.., Simba wakitaka kujitoa kwenye huduma hii eti wabonyeze ngapi!?
naona ndo mtindo mpya wa waarab, wakija kwako ukimfunga iwe 1-0, 2-1 au 1-1 ili ukienda kwake akushindilie 4-0, 5-1.Mechi ya kwanza itakoyochezwa dar simba anaweza kushinda ila marudio kule misri ni bora simba muende na vikapu
Kuitoa timu maramoja ndo unakuwa kiboko yao?