Simba kutangaza ubingwa Mbeya leo...sio Singida

Simba kutangaza ubingwa Mbeya leo...sio Singida

PAMOJA NA TIMU YA WANAWAKE KUHITAJI POINT MOJA TU ILI WANCHUKUE KOMBE LA BATI,,,BADO WANAUME WAMEWADHARAU KWA KUTOONA UMUHIMU WA MECHI HIYO...... WAKAPELEKA KIKOSI CHA TATU...... Hongera YANGA kwa kuwaweza MBUMBUMBU.
Naona unajifariji, shughuli yako ishakwisha see you 2030
 
simba akifungwa lazima watu watakufa Kwa mshtuko maana walivyojiaminisha kushinda sio kuzuri
 
yanga.jpg
 
Prisons wamemtoa Sugu, wamemfunga Yanga. Nilijua tu kuwa huu ni mtego [emoji23]
 
PAMOJA NA TIMU YA WANAWAKE KUHITAJI POINT MOJA TU ILI WANCHUKUE KOMBE LA BATI,,,BADO WANAUME WAMEWADHARAU KWA KUTOONA UMUHIMU WA MECHI HIYO...... WAKAPELEKA KIKOSI CHA TATU...... Hongera YANGA kwa kuwaweza MBUMBUMBU.
Hawajapenda kupeleka hicho kikosi lakini tatizo ni Umasikini uliopitiliza. Nasikia hata hela ya kununulia luku kwenye ofisi za klabu hamna [emoji23]
 
Back
Top Bottom