Naona unajifariji, shughuli yako ishakwisha see you 2030PAMOJA NA TIMU YA WANAWAKE KUHITAJI POINT MOJA TU ILI WANCHUKUE KOMBE LA BATI,,,BADO WANAUME WAMEWADHARAU KWA KUTOONA UMUHIMU WA MECHI HIYO...... WAKAPELEKA KIKOSI CHA TATU...... Hongera YANGA kwa kuwaweza MBUMBUMBU.
Hawajapenda kupeleka hicho kikosi lakini tatizo ni Umasikini uliopitiliza. Nasikia hata hela ya kununulia luku kwenye ofisi za klabu hamna [emoji23]PAMOJA NA TIMU YA WANAWAKE KUHITAJI POINT MOJA TU ILI WANCHUKUE KOMBE LA BATI,,,BADO WANAUME WAMEWADHARAU KWA KUTOONA UMUHIMU WA MECHI HIYO...... WAKAPELEKA KIKOSI CHA TATU...... Hongera YANGA kwa kuwaweza MBUMBUMBU.