Simba kutangaza utalii wa Tanzania kwenye CAF Chamipons League

Tuwasubiri utopolo kwenye yale madera yao sijui watakuja na nini?
 
Hii ni hatua nzuri sana, lakini serikali iwalipe simba isiwe ni bure tu
 
Wanatangaza utalii wa Tanzania Africa
 
Huyu Dada wa Simba hapoi nimemuelewa Sana...senzo alikuwa anatuchelewesha..
Alituchelewesha wapi hizi ndio tabia za jamaa wa Chato kila kitu anaona yeye ndio kafanya ilihali waliotangulia walimtengenezea mazingira mazuri kwahio Senzo hakufanya kitu?
 
Hapo wamechemka bado Kama utaangalia idadi ya watalii wanaokuja Tanzania wengi ni ngozi nyeupe sisi waafrica kutokana na umasikni wetu pia na kutokua na culture ya kufanya utalii naona kabisa hii idea aitakua na impact yoyote kutokana na ukweli kwamba wanaofatilia michuano hii ni sisi wenyewe waafrica wala tusidanganyane kua wazungu wanafatilia michuano hii licha ya kua itakua live kupitia media kubwa kama supersport .
Sasa hapa kama lengo ni kuwashawishi waafrica wenzetu kuja kutalii Tanzania hapo sawa.

Na pia tusisaau aibu tutayoipata wakati simba atakapopigwa hamsa huku kavaa jezi iliyoandikwa vist Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…