Simba kutangaza utalii wa Tanzania kwenye CAF Chamipons League

Ni kweli tungewashawishi wachina kuja nchini kwa kutangaza Vyura Visit...!
 
Rwanda mbona hawapati Aibu kwa vipigo anavyokula Arsenal??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie vyura ufahamu wenu ni mdogo hasa, CAF championship inaoneshwa na channel kibao cha nje ya Africa, acheni kuleta Utopolo wenu kwenye hoja ya muhimu kama hii
 
Tunalifaham hili ndo maana tunawaimiza waafrika wenzetu waje kututembelea tuna create awareness
 
Unamwandikia raia wa Burundi, au Cameroon au Ghana mwenye maisha magumu pengine kuliko hata ya kwako "visit Tanzania" huu ni ubunifu au ni umat*ko?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Yanga wameiga😂😂
 
ni muda wakuja na ubunifu wetu kweny slogan za kitaifa sio kuiga
wakati tunaubunifu wetu
Rwanda wanatuona machoko kweli japo kua wanaitia gundu arsenal ndio maana inapigwa sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…