Simba kutoka kapa mwaka huu

benaboy

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
42
Reaction score
32
Kwa mara ya kwanza SIMBA bila aibu itatoka kapa kabisa bila kombe lolote mwaka huu.

Ni vema ikijipanga vizuri kwa msimu ujao.
 
Una uhakika ni bila aibu wanatoka? BTW sasahivi watafuata nguvu Sumbawanga ile ya Tanga c ilizingua kule S.A?
 
Wana kombe la laana ( kombe la mapinduzi) ukichukua hili kombe umejipa mkosi wa kuchukua makombe ya maana
 
Simba hawajatoka Kapa, Wamechukua taji la Timu inayo ongoza Kwa Imani za kishirikina barani Afrika. CAf wenyewe wamewatambua pasina shaka kwamba Simba wako vizuri katika JUJU.
 
msimu huu Simba tumeteleza,tunajipanga vizuri tuwashe moto msimu ujao,hamtaamini macho yenu msimu ujao maji mtaita mma.
 
Kwa mara ya kwanza SIMBA bila aibu itatoka kapa kabisa bila kombe lolote mwaka huu.

Ni vema ikijipanga vizuri kwa msimu ujao.
Sio lazima tupate kila mwaka huo ni uchoyo na ubinafsi tunawaachia na wengine wapate
 
Hao ndiyo mabingwa wetu wa kombe la bonanza la mapinduzi! Huku kwingine wameangukia pua.
 
Wamechukua kombe la mganga na kombe la robo fainali ya shirikisho
 
Heee... Walipolichukua Mapinduzi Ulikuwa Hujazaliwa....?

Ukisema La Bonanza Huo ni utovu Wa nidhamu na Utopolo uliopitiliza na Kumdhalilisha Mwl. Nyerere na Mzee Karume Jambo ambalo Sisi WaTz Hatutakubali...
 
msimu huu Simba tumeteleza,tunajipanga vizuri tuwashe moto msimu ujao,hamtaamini macho yenu msimu ujao maji mtaita mma.
Kwa usajili wa akina shiza kichuya wa namungo na Nsssoro kapama wa kagera sugar kweli mtatisha si mchezo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…