Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima tupate kila mwaka huo ni uchoyo na ubinafsi tunawaachia na wengine wapateKwa mara ya kwanza SIMBA bila aibu itatoka kapa kabisa bila kombe lolote mwaka huu.
Ni vema ikijipanga vizuri kwa msimu ujao.
Kwa usajili wa akina shiza kichuya wa namungo na Nsssoro kapama wa kagera sugar kweli mtatisha si mchezo mkuumsimu huu Simba tumeteleza,tunajipanga vizuri tuwashe moto msimu ujao,hamtaamini macho yenu msimu ujao maji mtaita mma.
Hakuna timu inayowaza hivi broo..!!! Haya ni maneno ya mkosajiSio lazima tupate kila mwaka huo ni uchoyo na ubinafsi tunawaachia na wengine wapate