Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Screenshot_20220528-181125~2.png
 
Anaweza kua alikuwepo kweli Real Madrid, lakini kama nani? Ukute mfua soksi za wachezaji tu
Wee bwana hata kama mfua soksi kuna kitu utajua tuu yaani kuwepo tuu pale tayari umejifunza unajua ah kumbe hapa wanafanyaga hivi.

Ila kwa Africa hii sishangai maana tahira wa ulaya anaweza ongoza africa bila shida yoyote🤣🤣🤣🤣
 
Kocha kazingua bwana toka mechi ya pirates. Wachezaji wanawekza kuwa quality mbovu pia hatukatai ila tactical acumen ya jamaa hapana kabisa
Though ni maoni yako na siwezi kukupinga ila binafsi yangu naona tatizo kubwa kwa wachezaji

Wachezaji wanatoa pasi kwa timu pinzani na sometimes wanakuwa selfish wenyewe kwa wenyewe, kila mtu anataka aonekane star kwenye mechi muhimu

Mugalu ma big ji, kibu marasta, sakho na vibaiskeli vyake ambavyo kwa uzembe kabisa vimemfanya mpaka nisahau mara ya mwisho kufunga ilikuwa lini
 
MugalU sio mchezaji bwana, huyo Denis nae flatters to deceive basi.
Quality players bwana kiwapata ni shughuli. Hata hivyo ni upepo four years wameenjoy sasa time to rebuild
 
Angalau leo Boss amepost kiungwana, HAJASUSA kama kawaida yake.
 
Mugali sio mchezaji bwana, huyo denis nae flatters to deceive basi.
Quality players bwana kiwapata ni shughuli. Ata hivyo ni upepo four years wameenjoy sasa time to rebuild
Hivi kwa ukubwa wa Simba inakuaje shughuli kupata Quality Players?
 
Back
Top Bottom