Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Na makolo wenzio mpitishe bakuli[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] tumlipe Mimi na nani sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na makolo wenzio mpitishe bakuli[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] tumlipe Mimi na nani sasa?
kwanza fukuza DEMU wakeAnzeni na kocha...huyu bado nina mashaka na story ya kuwepo madrid
Anza na Demu wako MO
Demu gani tena huyo jamani....kumbe muddy ana demu🤣🤣🤣🤣🤣kwanza fukuza DEMU wake
Simba sio timu kubwa kama mnavyojiaminisha.Hivi kwa ukubwa wa Simba inakuaje shughuli kupata Quality Players?
Ha haha haaaaaaa......Mwamedi akifungwa bana, anamwaga ung'eng'e teh teh teh...
Mahaba niue. Alifungwa na Morrison kwenye free kick na mpira anauona itakuwa shuti la kushtukiza la Fei?Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
[emoji3][emoji3] sasa hawa watoto si muwaache wakue?Sasa tununue quality players.
Kibu, mzamiru, gadiel, kanoute, lwanga, bwalya, mugalu hawana hadhi ya kucheza Simba
Nyoni, Wawa, kagere, bocco, onyango wameshazeeka
Sakho, banda utoto umewajaa
Balama Revolution Alishawahi kumtungua kama la Fei, Mauya Kipara pia Alishawahi kumtungua kama la Fei piaKwani Yanga Haijawahi Kushinda Na Manula Wenu Akiwepo?, Shuti La Chini Chini Tu La Mayele Kwenye Ngao Ya Jamii Kashindwa Kuliona Angeweza Kupangua Lile Kombora Fei? Em Fanya Rejea Ukaangalie Goli Alilofungwa Na Balama Mapinduzi Kwanza Tar 4/01/2020.
Of course,Mbona Katoa pongezi Kiuanamichezo kbs, Wapi alipoWaka..?
Hlf katoa Maoni yake Kwamba bodi ya timu inahitaji kufanya maamuzi magumu yatakayo husisha Ukarabati Mkubwa..! Hivyo tu.
Huu ni Uungwana kbs,
Hujui kitu wewe, kwenye derby huyo anayeonekana mbovu ndio anashinda na kwani Yanga hajawahi kumfunga Simba huyo Manula akiwemo.Yanga na yenyewe iko hoi sana!! Hiyo simba ya leo haikuwa ya kufunga goli moja tu!! Yanga hana cha kujivunia!! Angekuwepo Manula hilo shuti angepangua bila shida! Na kwenye matuta angezuia mawili!! Kama ni ushindi, yanga ilishinda siku Manula alipoumia!!
mkuu kocha ana tatizo ,haiwezekani wachezaji wote wadrop kiwango kwa wakati mmoja na wapya wakose chemistry kwa msimu mzimakocha hana tatizo tatizo ni wachezaji
lakini suala la mastrika mashabiki walipigia kelele tangu usajili unaanza na walipoenda kuweka kambi,mechi zote walizoweka kambi Morocco walikuwa wanatoa draw ,hata waliporudi kabla ya ngao ya hisani bado michezo yote ya kirafiki ilikuwa draw tena na timu za ndani,viongozi walipotezea usajili wa mastreikaWakati tunaanza msimu huu niliangalia timu ya simba na conclusion yangu ni kuwa haina washambuliaji wazuri hapo ndio pana udhaifu mkubwa sana.
Kwanza ni miujiza kupata mafanikio waliyonayo kwa sasa kwa aina ya washambuliaji wao.
Ni mshabiki wa Simba ila siangalii mechi yeyote maana najua tuna safu mbovu ya ushambuliaji.
Umevurugwa kijana. Kufungwa ni jambo la kawaida tu, usiikane timu yako, jipangeni na msimu ujaoNa makolo wenzio mpitishe bakuli
Kwahyo mimi nipo makolo?Umevurugwa kijana. Kufungwa ni jambo la kawaida tu, usiikane timu yako, jipangeni na msimu ujao