Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Kuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa, hii itawapa muda waweze kujenga upya Kikosi chao ambacho kimejaa wachezaji wenye umri mkubwa kama Kapombe, Mkude, Onyango, Bocco, Wawa, Kagere, Chama na wengine.