Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,898
Reaction score
14,413
Kuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa, hii itawapa muda waweze kujenga upya Kikosi chao ambacho kimejaa wachezaji wenye umri mkubwa kama Kapombe, Mkude, Onyango, Bocco, Wawa, Kagere, Chama na wengine.
 
Mpira huujui kwanza
Content huna umekurupuka
Uyanga umekujaaa
Karibu lunch
 
dah!,mtani unayumba sana.kwa mashabiki wote wa Uto huwa nakitegemea wewe tu ndo angalau huwa unajitahidi.

Simba akitolewa nusu fainali atakua na zaidi ya point 30.5 point ambazo zitapeleka timu nne kimataifa.
ina maana hata kabla ya kujulikana bingwa wa msimu huu ligi ya NBC tayari Simba atakua keshawapeleka kimataifa nyinyi Uto na wenzenu wengine wawili.
sijui umeelewa?
 
Nusu fainali anafikaje wakati leo anapoteza
 
Nilijua walikuelewa vibaya kumbe ni kweli ulipoandika nusu fainali ya FA umemaanisha nusu fainali ya kwenye CAF confederation. Nikajua labda ulimaanisha FA ya Azam. Hapo umeyumba mkuu, kama unaona Simba itaingia nusu fainali ya shirikisho CAF halafu eti ishindwe kuingia mashindano ya kimataifa. Uzi wako umejitukana mwenyewe
 
Nilijua walikuelewa vibaya kumbe ni kweli ulipoandika nusu fainali ya FA umemaanisha nusu fainali ya kwenye CAF confederation. Nikajua labda ulimaanisha FA ya Azam. Hapo umeyumba mkuu, kama unaona Simba itaingia robo fainali ya shirikisho CAF halafu eti ishindwe kuingia mashindano ya kimataifa. Uzi wako umejitukana mwenyewe
Huyu Gide MK Kipa Katoka
 
Back
Top Bottom