Mpira huujui kwanzaKuna kila dalili Yanga akachukua ubingwa msimu huu, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA. Hii inaashiria kuwa msimu ujao Simba hawatashiriki michuano yoyote ya Kimataifa, hii itawapa muda waweze kujenga upya Kikosi chao ambacho kimejaa wachezaji wenye umri mkubwa kama Kapombe, Mkude, Onyango, Bocco, Wawa, Kagere, Chama na wengine.
Hii ni taarifa au ni malalamiko?
Ni ramli chonganishi.Hii ni taarifa au ni malalamiko?
❤️🤪🤪🤪 Anza na mtoa madaHii sensa iende sambamba na kutambua idadi ya wagonjwa wa akili
Nusu fainali anafikaje wakati leo anapotezadah!,mtani unayumba sana.kwa mashabiki wote wa Uto huwa nakitegemea wewe tu ndo angalau huwa unajitahidi.
Simba akitolewa nusu fainali atakua na zaidi ya point 30.5 point ambazo zitapeleka timu nne kimataifa.
ina maana hata kabla ya kujulikana bingwa wa msimu huu ligi ya NBC tayari Simba atakua keshawapeleka kimataifa nyinyi Uto na wenzenu wengine wawili.
sijui umeelewa?
Kama umegundua akili zao zinafanana! Yaani ni mazamwamwa hasa🤣Uto ni Uto tu,Jukwaa la Siasa unakuwa na point ila ukija huku unaandika mashudu
uzi umekuelemea 🤣🤣Nusu fainali anafikaje wakati leo anapoteza
Achana naye akili imechoka wanachunga n'gombe jangwaniKuna nafasi nne
, kuna uwezekano mkubwa Simba akatolewa nusu fainali kwenye FA.
Nilijua walikuelewa vibaya kumbe ni kweli ulipoandika nusu fainali ya FA umemaanisha nusu fainali ya kwenye CAF confederation. Nikajua labda ulimaanisha FA ya Azam. Hapo umeyumba mkuu, kama unaona Simba itaingia nusu fainali ya shirikisho CAF halafu eti ishindwe kuingia mashindano ya kimataifa. Uzi wako umejitukana mwenyeweNusu fainali anafikaje wakati leo anapoteza
Huyu Gide MK Kipa KatokaNilijua walikuelewa vibaya kumbe ni kweli ulipoandika nusu fainali ya FA umemaanisha nusu fainali ya kwenye CAF confederation. Nikajua labda ulimaanisha FA ya Azam. Hapo umeyumba mkuu, kama unaona Simba itaingia robo fainali ya shirikisho CAF halafu eti ishindwe kuingia mashindano ya kimataifa. Uzi wako umejitukana mwenyewe