Simba kutumia Jamhuri Morogoro kama uwanja wa nyumbani

Simba kutumia Jamhuri Morogoro kama uwanja wa nyumbani

Hawa ndugu zetu sijui wamelogwa na nani, Wakati dada zao wanautumia chamazi kama uwanja wa nyumbani wao wamekimbilia mkoani Morogoro kisa wanaogopa kulogwa.

Walikimbilia CCM kirumba mkoani Mwanza wakaishia kudondosha points, sasa wamehamia Morogoro wakizani labda wataepuka vipigo.

Niwaambie tu ya kwamba Uwanja hauchezi mpira, mtatangatanga kote lakini mkikutana na Yanga ni kipigo tu km cha mbwa mwizi na Ubingwa mtaishia kuusikia tu.

Cc. RAGE
wamekuwa kama raia wa GOMA...huruma haki ya Mungu
 
Lkn MAJINI FC pale Chamazi mmeweka nn kwann mnataka Simba achezee hapo.kama Simba mkicheza nae pale CHAMAZI Timu haitaruka ukuta?????
 
Back
Top Bottom