Write your reply...
hapo ndo tunapofeli,mazingira ya uwanja yalizoewa na wachezaji ni jambo la kuzingatia ktk soka,tumafanya kosa tuliofanya kwenye mechi ya kwanza ya kufuzu afcon tz vs lesotho matokeo 1-1,tulifanya kosa hilihili kwenye mechi against rwanda mechi ilikuwa ya kufuzu chan,jamaa wakaipeleka mwanza
ni jambo la kijinga,ila ni la kuzingatiwa

Nasikia uwanja wa Mkapa unafungwa mara baada ya mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes tarehe 24 March kwa ajili ya marekebisho ya AFCON under 17, na Simba wamechagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa ajili ya mechi za TPL. Jee hiyo ban ya uwanja wa mkapa itahusisha pia mechi za kombe la mabingwa wa Africa? Na kama ni hivyo Simba itapeleka wapi mechi ya kwanza ya Robo Fainali inayotakiwa kufanyika hapa nchini kati ya tarehe 6 na 7 April

Huyo aliyenunua timu simnasema ana utajili wa tirioni 3.2 kutoa bilioni kumi kujenga uwanja anapata shida gani?Wangekuwa na uwanja wao wasingepata hii shida..
Ni wakati wa mashabiki/wanachama wa Simba kuchangia ujenzi wa uwanja
mo amewekeza bilion 20 kama sijakosea, sidhan kama inatosha kujenga uwanja wenye standard..Huyo aliyenunua timu simnasema ana utajili wa tirioni 3.2 kutoa bilioni kumi kujenga uwanja anapata shida gani?