HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Nasikia uwanja wa Mkapa unafungwa mara baada ya mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes tarehe 24 March kwa ajili ya marekebisho ya AFCON under 17, na Simba wamechagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kwa ajili ya mechi za TPL. Jee hiyo ban ya uwanja wa mkapa itahusisha pia mechi za kombe la mabingwa wa Africa? Na kama ni hivyo Simba itapeleka wapi mechi ya kwanza ya Robo Fainali inayotakiwa kufanyika hapa nchini kati ya tarehe 6 na 7 April