Simba kuwa bingwa wa CAF Champions League 2026-2027

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,316
Reaction score
7,215
Japo Mimi ni Mshabiki wa Yanga..!

Sijawahi ku bet Toka Dunia inaumbwa, nataka ku bet coz nimemuona Simba iknanyua ndoo ya Africa.

Wataalam waku bet, naombeni maelekezo Kampuni gani ya ku bet naweza kubet kuhusu nani atakua BINGWA wa CAF this season.

NB:
Mimi sio Mtu wa kubet pia sitaendelea ku bet, nataka kubet mara hii tu Moja.
 
Mimi sio Mtu wa kibet pia sitaendelea ku bet, nataka kubet mara hii tu Moja.
Nautunza huu uzi!
 
Ubingwa ni uwekezaji, umakini na nidhamu.
Mkizingatia vitu hivyo hakuna shaka mtabeba Ubingwa.
 
Nautunza huu uzi!
Mkuu nimeona kwenye Ulimwengu wa Roho Simba anachukua Ubingwa wa CAF, ila Mimi ni Mshabiki ya Yanga, nimepata shida kidogo Moyoni.

Ningeweza kumfikia Hersi, ningemwambia kama Club iendelee kutoà Sadaka Kwa Wahitaji, Yatima, Wajane na Watoto wa Mitaani, waende Makanisani kuombewa, waende Kwa Masheikh kusoma Dua, then amwambie Kocha na Benchi la Ufundi kuwa this time waongeze juhudi, awaambie Wachezaji hii ni nafasi Yao kubadirisha matokeo.

Kwa kufanya hivyo tutapindua Matokeo, coz Simba wenyewe taarifa hawana kwamba mpaka napoandika hapa kwenye Ulimwengu wa Roho wao ni Mabingwa.
 
Sipingi chochote kwani baada ya vigogo viwili national al ahaly na masanda wana kutokuwepo kwenye michuano hii uzembe TU wa Simba ndio utaikisesha ubingwa
 
Japo Mimi ni Mshabiki wa Yanga..!

Sijawahi ku bet Toka Dunia inaumbwa, nataka ku bet coz nimemuona Simba iknanyua ndoo ya Africa.

Wataalam waku bet, naombeni maelekezo Kampuni gani ya ku bet naweza kubet kuhusu nani atakua BINGWA wa CAF this season.

NB:
Mimi sio Mtu wa kubet pia sitaendelea ku bet, nataka kubet mara hii tu Moja.
Dirisha Dogo, tukipata striker mzuri .
Ubingwa tunao.
 
Mkuu nimeona kwenye Ulimwengu wa Roho Simba anachukua Ubingwa wa CAF, ila Mimi ni Mshabiki ya Yanga, nimepata shida kidogo Moyoni.

Ningeweza kumfikia Hersi, ningemwambia kama Club iendelee kutoà Sadaka Kwa Wahitaji, Yatima, Wajane na Watoto wa Mitaani, waende Makanisani kuombewa, waende Kwa Masheikh kusoma Dua, then amwambie Kocha na Benchi la Ufundi kuwa this time waongeze juhudi, awaambie Wachezaji hii ni nafasi Yao kubadirisha matokeo.

Kwa kufanya hivyo tutapindua Matokeo, coz Simba wenyewe taarifa hawana kwamba mpaka napoandika hapa kwenye Ulimwengu wa Roho wao ni Mabingwa.
Hahahaha,huo ulimwengu wa roho,ndio unawapotezaga watanzania ktk mambo mengi
 
Life is Spiritual, Kila kinachotokea Duniani hapa kilianzia kwenye Ulimwengu wa Roho, wewe uliumwa kwanza kwenye Ulimwengu wa Roho then ndiyo Mungu akafinyanga structure ya mtu alipopuliza, Ile Spirit aliyoiumba rohoni, ikavaa Mwili na ukawa nafasi hai.
 
Back
Top Bottom